Wednesday, 22 May 2013

Roma mkatoliki ampigia debe Fid Q kwenye tuzo za Kili


Mshindi wa tuzo za kili kwa mwaka jana Roma Mkatoliki anaefanya kazi zake nyingi Tongwe Records chini ya Producer J-Ryder, amempigia debe mkali wa mashairi na flow toka Rock City Mwanza Fid Q ili aweze kuchukua tuzo kadhaa za muziki zinazotolewa na Kilimanjaro (Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013).

Roma ameutumia ukurasa wake wa facebook kuwaomba fans wampigie kura Fid Q katika vipengele kadhaa.

Rhymes of Magic Atraction ameandika:

Audio: Ziara ya Obama Africa bila kuzulu Kenya yazua vituko, mwingine aahidi kumpa kuku akishuka Kenya, haya ni maoni craziest.


 
Kitendo cha rais wa Marekani Barack Obama kuiruka Kenya katika ziara yake na kupanga kutembelea nchi tatu ambazo ni Tanzania, Senegal na Afrika kusini kumezua maswali mengi sana kwa wakenya. Mengi yamekuwa ni ya kuchekesha pia lakini yanaonesha

List nzima ya washindi wa Billboard Music Awards 2013,Ulikuwa usiku wa aina yake kwa Justin Bieber na Tailor Swift


May 19 mwaka huu kulikuwa na tukio kubwa katika ulimwengu wa muziki ambapo tuzo za Billiboard zilitolewa kwa wasanii mbalimbali, Justin Bieber na Tailor Swift ni miongoni mwa wasanii waliofanya vizuri na kuondoka na tuzo kadhaa.

New Song: Linex feat. Wyre 'RIZIKI YANGU'


Rihanna haitaji kuliziba pengo la Chris Brown kwa sasa, ‘She’s not thirsty’


The Diamonds hit maker Rihanna anahitaji nafasi na muda wa kutosha kufanya mambo yake kivyake baada ya kuachana na Chris Brown.

Kwa mujibu wa Hollywoodlife rafiki wa karibu wa mrembo huyo amesema hajafocus katika kutafuta boyfriend ama mtu yeyote kwa kuwa hana

P-funk Majani anaamini Profesa anaweza kuwa mbunge baada ya kujiunga na CHADEMA


Jana ilikuwa ni siku nzuri kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kumpokea mwanachama mpya Joseph Haule a.k.a Profesa Jay aliyekabidhiwa kadi ya Chama na mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu na John Mnyika.

Chris Brown anusurika kupata ajali mbaya ya gari akiwa na Karrueche Tran


Inawezekana hiki ni kipindi cha bahati mbaya kwa mkali wa RnB Chris Brown kutokana na kukumbwa na mikasa kadhaa ambayo inahatarisha maisha yake.

Siku kadhaa zilizopita alikosana na majirani zake waliomfungulia kesi mahakamani muimbaji huyo kwa kuchora graffiti ambazo walidai

Anachowaza Selena Gomez baada ya Tailor Swift kuweka wazi kuwa hamzimii Justin Bieber


Baada ya Selena Gomez na Justin Bieber kuweka wazi kuwa wamerudiana na kukiss back stage ya Billboards Music Awards sasa mwanadada huyo anayavaa kikamilifu majukumu yote yanayomhusu boyfriend wake.

Tuesday, 21 May 2013

The Ambassador for Vodacom brand in Tanzania Musician MwanaFA has urged men in the country to be in forefront seeking solutions to the challenges facing the society so as to get dignity and honor


The Ambassador for Vodacom brand in Tanzania, musician Hamis Mwinjuma also known as MwanaFA has urged men in the country to be in forefront seeking solutions to the challenges facing the society so as to get dignity and honor.

Monday, 20 May 2013

Sehemu ya hotuba ya Kambi rasmi ya upinzani iliyowasomwa na Joseph Mbilinyi (Sugu)


KAMBI YA UPINZANI MHESHIMIWA  JOSEPH O. MBILINYI (MB)

KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA
MATUMIZI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA,
UTAMADUNI NA MICHEZO KWA MWAKA
WA FEDHA 2013/2014

(Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya
kanuni za Bunge toleo la mwaka 2013)

Picha: The Heavy Weight Mc, Mwamba wa Kaskazini, Lord Eyez meet Anaconda, guess wakali hawa walikuwa na agenda gani ?


Kuna wakati sisi watu wa kawaida huwa tunajiuliza maswali mengi kuhusu maisha ya mastaa, lakini inaweza kuongeza maswali kutaka kufahamu wakikutana celebs tunaowakubali nini hasa huwa hoja yao, ama ni bata tu.
Hii ni picha inayowaonesha baadhi ya wasanii wakali wa muziki hapa Tanzania, akiwemo The heavy weight MC profesa Jay, Mwamba wa Kaskazini, Lord Eyez, na wengine.

Bungeni: Sugu amshangaa mh. Pinda kuhudhuria tamasha la kupinga uharamia liloandaliwa na Clouds Media Group



 
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu amemshangaa waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda kwa kuhudhuria tamasha/tukio lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa lengo la kupinga uharamia wa kazi za wasanii.

Exclusive: MB Dog aushangaa mfumo wa muziki TZ, “Hakuna Respect”

Hit maker wa ngoma isiyochuja masikioni ‘Si uliniambia’ MB Dog ameushangaa mfumo wa muziki wa Tanzania akilinganisha na mfumo wa muziki wa nchi kadhaa alizozitembelea na kikubwa alichokiona ni kwamba Tanzania hakuna ‘Respect’ kwa wasanii waliotangulia ama waliofanya vizuri na sasa wamenyamaza.

Sajna ‘Mzee wa Iveta’ kuachia wimbo mpya aliofanya na Ben Pol na C-Sir Madini, soon!



Msanii kutoka Rock City Mwanza aliyetamba na hits kama Iveta na Sitaki tena kuumizwa akiwa na Linah, namzungumzia Sajna, anatarajia kuachia wimbo mpya hivi karibuni ambao amewashirikisha Ben Pol na C-Sir Madini.

Exclusive: Mtazamo wa Afande sele, “ nia ya tuzo za Kili kila mwaka ni kurudisha nyuma muziki”..afunguka kwa nini hafanyi video na kampuni ya Visual Lab

Selemani Msindi a.k.a Afande Sele amefunguka kuhusu mtazamo wake kwa tuzo za muziki za Kili (Kilimanjaro Tanzania Music Awards) na kwamba kile wanachokifanya wao wanakijua na wanajua kabisa wanaharibu.

Saturday, 18 May 2013

Akili Kumkichwa: Mtandao nchini Kenya wataja members wa Freemason Kenya na Tanzania…Jacquelin Wolper pia atajwa

Inawezekana kila kitu kina wakati wake, kuna muda watu walikuwa wakisikia neno ‘Freemason’ ama ‘Illuminate’ kama inavyojulikana nchini Kenya wengi walikuwa wanaiona ni habari kubwa, lakini kwa sasa hivi inaweza kuchukuliwa kama sio big deal.

Video: Kanye West atikiswi na tetesi za ushoga, he moves on, aachia video mpya‘New Slaves’ iliyooneshwa sehemu 66 duniani

Kiongozi wa G.O.O.D music Kanye West anaonekana kuwa imara na kutotikiswa na tetesi za ushoga zilizozagaa na badala yake anaendelea na maisha kama kawaida na kujitanua kibiashara zaidi.

New Video: Jennifer Lopez feat. Pitbull 'LIVE IT UP'


Anachofikiria Kim Kardashian kuhusu tetesi za Kanye West kujihusisha na Ushoga



Ule usemi kuwa ukiwa juu utakuwa mada (if you are on top, you become a topic) unaweza kuwa na ukweli kwa asilimia 99 hivi, na mada zenyewe lazima zitakuwa hasi na chanya.

Confirmed: Beyonce na Jay-Z wanatarajia mtoto wa pili



 
'Who run the world hit maker’ Beyonce Knowlence ambae ni mama wa mtoto mmoja anatarajia kupata mtoto wa pili ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.

Friday, 17 May 2013

Video: Jennifer Lopez afunika na vazi lenye mvuto zaidi kwenye jukwaa la fainali za ‘American Idol’, Mariah Carey amdiss kiaina.


Jennifer Lopez ambae ni judge wa zamani wa shindano la American Idol alirudi tena kwenye fainali za season 12 za mashindano hayo ya kuimba kama performer na sio judge tena.

Rihanna afungua kesi ya madai dhidi ya duka la nguo kwa kutumia picha yake bila makubaliano


‘Diamonds Hitmaker’ Rihanna ameamua kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mfanyabiashara mkubwa wa  mavazi nchini Uingereza Philip Green kwa kuuza T-Shirt zenye picha ya mwimbaji huyo kupitia store yake inayojukana kwa jina la ‘Top Shop’ bila idhini yake. 

Marehemu Eazy E na Ol’ Dirty Bastard kushiriki tamasha la Rock the Bells kwa njia ya Hologram


Ol’ Dirty Bastard ambae ni muanzilishi wa kundi la Wu Tang Clan alifariki takribani miaka kumi iliyopita, na Eazy E ambae alikuwa  rapper wa N.W.A  alifariki mwaka 1995, lakini wawili hao wataiongoza show katika tamasha linalojulikana kama ‘Rock the Bells Music Festival’ mwaka huu.

Sababu za TID kuitosa show ya Lady Jay Dee zina mantiki? Jide aomba watu wasiwajaji TID, matonya &...


Team Anaconda imepata changamoto nyingine baada ya TID kuweka wazi kuwa amejitoa katika orodha ya wasanii watakaotumbuiza katika show ya miaka 13 ya Lady Jay Dee may 31 mwaka huu.

American Idol Finale: And the winner of American Idol 2013 is……….

Candice Glover
Season 12 ya lile shindano maarufu la kusaka vipaji marekani ‘American Idol’ imefikia tamati jana alhamisi may 16 na kumtoa mshindi ambaye ni mwanadada Candice Glover.

Thursday, 16 May 2013

Maandishi na picha ya ya T-shirt ya Rihanna yazua gumzo,je anamtumia ujumbe Chris Brown??

Ile couple ya mastaa Chris Brown na Rihanna iliyovunjika huku ikiacha maswali mengi kwa fans kwa drama ya mapenzi kati yao inazidi kuzua maswali kwa kile kinachoendelea kimyakimya na muda mwingine kwa ishara tu.

New Music: Mwana FA ft. Njenje, Mandojo na Domokaya 'KAMA ZAMANI'


Usikilize wimbo mpya wa Mwana FA 'KAMA ZAMANI'

Hii ni video inayoonesha mazungumzo kati ya Gadner na Linah/Barnaba kuhusu kuwepo kwenye show ya Lady Jay Dee


Wiki za hivi karibuni Lady Jay dee amekuwa akitaja tarehe ambazo atakuwa anatoa kitu kimojakimoja kinachohusu mgogoro wake na uongozi wa Clouds Fm.

Nidhamu ya Kazi: Beyonce aandika barua kwa mkono wake kuomba radhi kwa kuahirisha show kwa mara ya kwanza katika maisha yake


Malkia wa RnB Beyonce Knowlence ameonesha kile ambacho wengi tutakiita nidhamu ya kazi ama kuwajali zaidi fans wake,mama Blue Ivy aliandika barua kwa mkono wake mwenyewe kuomba radhi fans wake wa Ubelgiji kwa kuarisha show yake iliyokuwa ifanyike jana (jumatano) huku fans hao wakiwa tayari wameshakata tiketi.

Monday, 13 May 2013

New Music: Mb Dog avunja ukimya, aja na single mpya ' MA DIGNA', isikilize hapa

Baada ya ukimya wa muda mrefu msanii aliewahi kushika chati mbali mbali nchini kupitia hit songs zake kama 'Si Uliniambia', na 'Latifah' Mb Dogg amevunja ukimya kwa kuachia single mpya 'MA DIGINA'. Isikilize/download hapo chini

New Video: Amani ft.Radio & Weasel 'KIBOKO CHANGU' [Official Video]

Video ya wimbo mpya wa Amani kutoka Kenya aliyowashirikisha Radio na Weasel kutoka Uganda, Itazame hapo chini.

Mkanganyiko! Barnaba na Linah wathibisha kuwepo kwenye show ya Jide kupitia Diary ya Lady JayDee

Jumapili ya May 12 mwaka huu ni siku ambayo Lady Jay Dee aliwaalika fans wake zaidi kuangalia kipindi cha ‘Diary ya Lady JayDee’ kupitia EATV ili kufahamu kile alichokiita ‘uongo uliojificha’, na kutoa mfano wa style ya Shaggy kukana na kusema ‘it Wasn’t me’, hata kama ukinaswa na camera.

Saturday, 11 May 2013

Picha ya mtu aliyefanana sana na Jay Z, ni ya mwaka 1939....Angalia na mastaa wengine na watu waliofanana nao

Kuna ule usemi unaosema 'duniani wawili wawili' ukimaanisha kuna uwezekano kila mtu ana mtu anayefanana nae hapa duniani hata kama hawafahamiani wala hawajawahi kukutana, hiki ndio kimeonekana baada ya picha iliyopigwa mwaka 1939 ya jamaa mmoja anayefanana na Jay Z kuonekana katika maktaba ya Schomburg Center ya New York Marekani.

Wivu: Chris Brown na Rihanna warushiana vijembe twitter baada ya kuachana

Baada ya kuthibitisha kuachana kwao wiki iliyopita, ile ex 'drama couple' ya mastaa Chris Brown na 'Stay' singer Rihanna imeanza kuonyesha dalili za wivu kati yao baada ya kuanza kurushiana vijimaneno vyenye chembe chembe za wivu, lawama na mapenzi ambayo huenda bado yapo kwa kila mmoja wao. 

Kupitia akaunti zao za twitter wamekua wakiandikiana tweet za kulaumiana kwa kile kilichotokea katika mahusiano yao na kila mmoja kuonekana kumlaumu mwenzie.

Confirmed! Lady JayDee kutinga mahakamani Jumatatu, asisitiza wasanii walikula advance yake na kukiri mbele ya Camera!

Baada ya Lady JayDee kusema amepokea habari ambazo alikuwa bado hajazidhibisha kuwa anatakiwa mahakamani na kuomba kama ni kweli isiwe tarehe ambayo anafanya show ya miaka 13 ya Lady Jaydee, sasa inaonekana amesha confirm kuwa anatakiwa kufika mahakamani jumatatu ya tarehe 13 May mwaka huu.

 Jide amewapa fans wake taarifa jana jioni kupitia facebook na twitter kuhusu kufikishwa kwake mahakamani na kwamba ataendelea kuwajuza kinachoendelea.

Friday, 10 May 2013

Lady Jay Dee aambiwa kafunguliwa kesi mahakamani, mwenyewe anawish asipande kizimbani siku ya show yake


Bado joto ya show ya mika 13 ya Lady JayDee inazidi kupanda kutokana na mengi yanayohofiwa kutokea siku hiyo. Kwanza kulikuwa na tetesi kuwa huenda Clouds Fm wakafanya show nyingine siku hiyo, kitu ambacho Ruge Mutahaba alikifafanua vizuri kwa kusema mtu ukiwa na shughuli haimaanishi kuwa wengine wasifanye shughuli nyingine kama hiyo.

Picha: Hii ndio Ferrari anayomiliki Octopizzo wa Kenya, ni ya mwaka 1949!

Baada ya Jaguar kudhihirisha umillionea wake katika video yake mpya ya 'Kipepeo', msanii mwingine kutoka Kenya Octopizzo nae ameamua kuonyesha Vintage Ferrari yake ya mwaka 1949 ambayo ameitumia katika video yake ya 'Stay So Fly'. Kwa mujibu wa mtandao wa dailypost gari hiyo ni mali yake. Hebu itazame hapo ndani Ferrari ya mwaka 1949 inayomilikiwa na Octopizzo.

Chini ya pazia show ya Chameleon: vazi lake la bei kali nusura limtoe roho kwa kukosa hewa

Jose Chameleone akiwa katika vazi hiko
Msaniii tajiri zaidi Afrika mashariki Jose Chameleone hivi karibuni aliweka historia nchini humo katika show yake ya badilisha concert kwa kupanda jukwaani na vazi la aina yake lenye thamani ya $ 13,000 sawa sawa na (21,203,000/= T shs) ambalo lilikuwa limemfunika uso na mwili mzima.

Thursday, 9 May 2013

New Music: Amani feat. Radio & Weasel 'KIBOKO CHANGU'


Prezzo adata kimapenzi na Diva Loveness Love, ‘‘siwezi kumuachia, nimuache nichekwe’’ asema Mahari iko njiani


Rapper kutoka Nairobi Prezzo ameonesha kudatishwa kimapenzi na Diva Loveness Love, mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm. Rapper huyo ambae alikuja Tanzania kwa ajili ya show kadhaa jijini Dar es Salaam amethibitisha hilo kupitia U Heard ya XXL.

CMB Prezidaa alikiri kudatishwa na kusema kweli hawezi kumuacha, na kwamba kilichobaki ni Mahari tu inakuja kutoka Mwanza.

Hard Mad anaomba kura yako katika KTMA 2013


Dondoo Za Hip Hop: Neno la Mama Tupac Shakur kwa Jamii inayobeza kizazi cha Hip Hop, na B.I.G alivyojilaumu na kuwalaumu wana HipHop kwa kugeuka Kero kwa wazazi

 
Karibu tena kwenye darasa huru la Hip Hop “DONDOO ZA HIP HOP” linalokujia kila alhamisi exclusively hapa www.leotainmenttz.com . Leo tutazungumzia jinsi maadili hasa ya mtoto na mama katika Hip Hop yanavyochukuliwa.

Imeandikwa na Josefly

Kwa kuwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa, namshukuru Mungu kuongeza mwaka mwingine, na kunipa upeo kidogo nilionao unaonisaidia kushare na wenzangu kidogo nikitafutacho.

Tukizungumzia kizazi cha Hip Hop tunazungumzia kuanzia mwaka 1970 na kuendelea ikiwa ni karne ya 20 na 21. Ambapo katika historia ya wanahip hip wengi wakubwa na maarufu tunakuta walilelewa na mzazi mmoja yaani mama. Mfano Jay-Z, Notorious B.I.G, na Tupac na hao ni wachache.

Diary ya Lady JayDee kuwaumbua Linah na Barnaba?? Ni kwa style ya Shaggy. Jide asema, “ni majibu ya uongo uloficha”!



Kumekuwa na kupishana/vutanikuvute kati ya LadyJay Dee na wasanii wa THT Linah na Barnaba kuhusu wasanii hao kuwepo ama kutokuwepo kwenye show ya Jide May 31, hata hivyo Lina na Barnaba walithibitisha kuwa watakuwepo kwenye tamasha la miaka 13 ya Lady JayDee licha ya kuwa kwenye posters za show hiyo.

Happy Birthday Josefly

Leo ni Birthday ya msanii/Mtangazaji na mwandishi wa Leotainmenttz ‘Josefly’,. Happy Birthday.. huu ni wimbo aliochagua maalum kwa siku hii ni wimbo wake mwenyewe…’Sauti Za Mtaa'







Sikiliza hapa: Josefly 'SAUTI ZA MTAA'

Wednesday, 8 May 2013

New Music:TMK Halisi 'FITINA'

Sikiliza na download wimbo mpya wa TMK Halisi 'FITINA'

Baada ya kutolewa studio kwa kuvaa ndala, Juma Nature aja na unique idea, aanzisha biashara ya kuuza ndala


Kwa waandishi wa habari tulifundishwa kuwa ‘News is everywhere’, na kwa wajasiliamali tunafundishwa kuwa ‘business idea is everywhere’. Kwa point hiyo tunaweza kusema Juma Nature ameona mbali na huenda kapata idea baada ya tukio.