Wiki iliyopita
kwenye show ya Mkasi ya EATV na Salama Jabir, TID alikuwa mgeni na alizungumza mengi kuhusiana na muziki,
biashara na maisha binafsi.
Kuhusu mchango wake kama msanii
mkongwe kwa wasanii wachanga
It tells me
that we have inspired a lot, motivation ilikuwa kubwa tumetoa, mimi sasa hivi
nikiangalia one two artist, four artists nasema man, this people are stepping
on my stone.
TID anasema
wao walijenga msingi mzuri kwa wasanii wa sasa
Akijibu swali
la iwapo anaumia kuona wasanii wa leo hawahangaiki kama wao walivyohustle
kutoka. Tid alisema: I don’t know, Mungu ana mipango yote, haujui kwanini sisi tumehustle,
maybe we gonna get better and better.
Kuhusu Radar Entertainment na Ngwea
Tumeform hiyo
band inaitwa Radar Entertainment it’s not such a band, it’s an entertainment
company ambayo pia ina band yake inafanya performance pia wanarectruit new
artists, give them contracrs, give them a scenario they can improve their lives
kama ni talent kweli. Hatutaki gozigozi tunataka tu talent kwasababu we believe
we have better talents. Radar entertainment naweza kusema ni Bad Boys
Entertainment, we need tha thing. Na kama tunakusign officially, una privilege ya
kupata ABCDEFG, siwezi kuvizungumza sasa hivi lakini am telling you once you are signed
with Radar, improvement yako tukikubali we give you status within a minute!
Kuhusu watoto
Yeah I got
two kids (mama tofauti) the most recently one ana mwaka mmoja na miezi minne (anacheka)
it’s crazy.
Kuhusu mara yake ya mwisho kulia
The last
time was the last four weeks, I don’t know I just cried because I felt I was
losing it . I felt like losing it because I can see people come telling people
, TID hivi story on the radio mimi huyu hajaniona mimi, ts like they all
blaming on me and am tryna see why! Kitu gani kibaya nimefanya Khalid mimi.. What's
wrong? If you didn’t ask about senseless things am doing no am only devoted my
life to this music you know, nini tatazo, why is this all hates, you wanna put
me down to be on top? Sawa go ahead but leave me, let me do my life.
Kama ungependa kusikiliza audio ya mahojiano hayo sikiliza hapa chini.
Kama ungependa kusikiliza audio ya mahojiano hayo sikiliza hapa chini.
